Nyakati Zimebadilika, mpaka sasa sijapokea Mwaliko wa Sikukuu ya Eid.

Nyakati Zimebadilika, mpaka sasa sijapokea Mwaliko wa Sikukuu ya Eid.

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Kweli nyakati daima hazifanani, mpaka ninavyoandika hapa sijapokea mwaliko wowote wa Sikukuu toka kwa ndugu, jamaa na rafiki zangu! Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki? Come on!!
 
It is your turn.

Na wewe chukua hatua, uwaalike.
 
Back
Top Bottom