Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
hivi hajapata hata ujumbe wa nyumba kumi?Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.
Chanzo:Nipashe
Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?
Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
Nadhani ni typing error mbona kwenye content ameonyesha vizuri ni nani?? Tatizo ukishapost huwezi ku-edit heading..! Maybe awaombe mods wasawazishe..Nyalunda ni nani......?.....una hakika sisi tunamfahamu......?.....
Akikusikia MSIGWA Umekwisha.....................Nyalandu hajitambui na hakuna lolote la maana alilofanya kwenye wizara ya Maliasili na utalii,nilimkubali tu alipoungana na Sitta (Msaliti) katika kupinga kwa Tanzania kusaini mikataba isiyo na tija kwenye EAC
Baada ya hapo huyu ni wa kupuuzwa tu na anajipendekeza ili apate ukuu wa mkoa.
Nyalandu uchungu wa kukosa uwaziri wa maliasili na uwenyekiti wa kamati ya maliasili ndo kinachomsokotoa maana yeye na msigwa walikua lao moja kwenye dill la vitalu vya uwindishaji kule arushaNyalandu hajitambui na hakuna lolote la maana alilofanya kwenye wizara ya Maliasili na utalii,nilimkubali tu alipoungana na Sitta (Msaliti) katika kupinga kwa Tanzania kusaini mikataba isiyo na tija kwenye EAC
Baada ya hapo huyu ni wa kupuuzwa tu na anajipendekeza ili apate ukuu wa mkoa.
Ukishatoka kundini ndo unaona mapungufu........poor NyalanduGazeti la nipashe linaripoti kwamba Lazaro Nyalandu anakuwa kada wa kwanza wa ccm kujitokeza hadharani kupinga mchakato wa katiba inayopendekezwa .
akielezea mchakato huo katika akaunti yake ya Tweeter , amesema rasimu mpya inahitaji marekebisho makubwa kabla ya kupelekwa kwa wananchi .
Ama kwa hakika ukishangaa ya Musa basi utayaona ya firauni .