Nyalandu apinga Katiba inayopendekezwa

Sitaki kuamini kama hii ni kweli, gazeti la lini? mwenye nalo atuwekee hapa?
habari ndiyo hiyo mkuu , Nyalandu ameamua kutubu , muda si mrefu utamsikia samuel naye akija na neno lake , " NILISHINIKIZWA "
 
Picha halisi ya kura ya wazi wakati wa bunge la katiba. Wajumbe hawakuwa huru kutoa uamuzi wao. Hoja ya mwenyekiti ccm kuwashughulikia waliohujumu chama ni falsafa ile ile ya kumshangilia mfalme kavaa suti kumbe yuko uchi. Wapeni watu uhuru, utayajua ya moyoni mwao.
 
Hii ya Nyarandu inathibitisha kuwa mchakato wa Katiba mpya ulikuwa wa matakwa ya watu fulani
 


Point!!
 
Ukiwa ktk kundi LA Simba unakua Simba ukitoka unarudi kuwa mbwa
 
MWENZAKE Membe kaamua kunyamaza, huyu naye atanyamaza tu.
 
ccm wengi ni wanafiki leo hii wengne wanapinga ufisadi kwa sura ipi waliyonayo duh
 
Hivi wakati ule alipga kura ya kukataa au kukubali? Aache unafiki!
 
Mbali na kusigina maoni mazuri ya wananchi na kuteketeza kiasi kikubwa cha pesa, la kupigisha kura marehemu nadhani ndio laana kubwa kuliko zote na waliofanya hayo laani hiyo itawarudia!
 
Watajua wenyewe..tulipowaambia hawakutuelewa.
 
habari ndiyo hiyo mkuu , Nyalandu ameamua kutubu , muda si mrefu utamsikia samuel naye akija na neno lake , " NILISHINIKIZWA "
Kweli AISEE. Na Makamu naye atasema: Nilipokuwa Naibu supika "Sikuwa naona wala kusikia vizuri"! Wajage tu watubu na kweli itawaweka huru!
 
Leo hii amekuwa shujaa wa makamanda rasmi.
 
hapa kajizolea sifa kwa kupinga katiba mpya. Kumbe kupinga ni hulka yake. Aende nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…