Nyalandu atoa msaada wa milioni 120 Ifakara

Wanabodi! Mimi hisia zangu ni kwamba mtu anakubarika kwa kile alichonacho...mawazo na wala si msaada! Kiongozi anayetoa misaada anadumaza maendeleo!! Anawafanya watu wawe omba omba maradufu! Anawafanya watu wajione watwana na yeye awe bwanyenye! Anawafanya watu wadhani jamaa anatengeneza hela! Sidhani kama anatengeneza hela! Inawezekana hiyo nikodi yetu! Kimsingi nitamwona mtu yeyete makini anayetaka uongozi endapo atatuambia watz JINSI YA KUJIKWAMUA KWENYE TOPE NA LINDI LA UMASIKINI! Kutoa msaada ni kuendeleza umasikini, utegemeze, umangi-meza na ubwetekaji! Wapendao kuwa viongozi wa nchi hii waje na philosophia zao kijamii, kiuchumi na waeleze jamii ya watz itakwamkaje kwenye tope hili ambalo, binafsi ninahisi gia zote zimekwisha! Mkapa na gia ya Uwajibikaji na uwazi tumezama, Kikwete na kasi zaidi na maisha bora tunaendelea kudidimiatuuuuu! Sasa tufanyeje? Wajao na waje, lakini waje na majibu ya maswali haya vinginevyo tuwapotezee!
ngereja mil 500, Nyarandu mil 120, Lowasa kama Mil 700 sasa .jamani hela zinatoka wapi
 
Kazina Nyalandu, kazi unayaifanya hatakama watu wakikubeza haisaidii kitu.
Acheni kupiga domo na majungu yasio na maana, Nyalandu anafanya kazi inayoonekana..........
 
Marekani inataka niwe rais wa Tanzania-Nyalandu.Pesa anatoa USA

Marekani gani hiyo inayotaka huyu kilaza awe Rais? U.S.A. haisimiki vibaraka wake kwa mtindo wa kijinga kama hivyo!!
 
nyepesi nyepesi zinasema jamaa ametoa tena milioni mia moja.
 
i am glad kwamba umepata ban
 

point yako hasa ni nini?? maana umeandika kama unaoga nje
 
Katoa hela zake,kinawauma nini?

pesa katoa wapi wakati mishahara ya public servants sio siri??

Huyu jamaa ana tabia ya kulazimisha mashirika yaliyo chini ya wizara kutoa pesa ambazo hazipo hata kwenye bajeti

hebu tuache ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…