czar JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 339 Reaction score 5 Feb 21, 2011 #21 Hamna kitu hapo. Anza na sera zinazolinda maslahi ya wabongo. Migodini, Mbugani wameajiriwa wengi wasio waswahili na hamna noma au kwa kuwa ni wachina ndo nongwaa.
Hamna kitu hapo. Anza na sera zinazolinda maslahi ya wabongo. Migodini, Mbugani wameajiriwa wengi wasio waswahili na hamna noma au kwa kuwa ni wachina ndo nongwaa.