Tetesi: Nyalandu hagombei ubunge!

Amejitafakari, naona ameona atashindwa kwa kishindo.
Ameona awaachie aibu hiyo chadema wenyewe.
 
Ngoja msema kweli mzee muda
 
Amejitafakari, naona ameona atashindwa kwa kishindo.
Ameona awaachie aibu hiyo chadema wenyewe.
Alienda kikao cha kamati kuu kuwaomba agombee kamati kuu ya Chadema iridhie na kumtangaza lakini kamati ikakataa kwa misingi kuwa chama hakitashiriki uchaguzi wa marudio.Kumpoza wamempa ujumbe wa kamati kuu
 
Na nyinyi mrudisheni nyarandu agombeee tena
 
Hakuna haja ya upinzani kushiriki huo uchaguzi!!matokeo yashapangwa
 
CCM ni wezi wa kura,wala rushwa na wauawaji tu.!
CCM walipeleke lishoga lao Jelly Mulo likagombee
 
Alienda kikao cha kamati kuu kuwaomba agombee kamati kuu ya Chadema iridhie na kumtangaza lakini kamati ikakataa kwa misingi kuwa chama hakitashiriki uchaguzi wa marudio.Kumpoza wamempa ujumbe wa kamati kuu
Dah, jamaa anajuta sasa. Kacheza karata zake vibaya sana!!
Alidhani atagombea kupitia chadema kumbe huko ni wazee wa kuzira!
 
Anajiandaa kugombea urais 2020, kwa hisani ya watu wa Marekani!
akigombea urais, atapata. bora tuwe na mtu mwenye akili na mwenye exposure. tz tunaonekana washamba aisee kwasababu ya watu wengine kukosa exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…