Kwa upande wangu siddhani kama kuna mtu ana fahamu vyema mengi ambayo Nyalandu aliyowahi kupitia akiwa mbunge chini ya CCM moja ya tukio baya ni lile la yeye kukoswa koswa ndani huko nyumbani Singida na kukutwa mama yake ndani. Hili la sasa kwa kugombea jimbo na mtu ambaye anamjua vema tabia yake Nyalandu hawezi kuwa fala hata kidogo. Anajua mbinu za kukwepa miale ya moto. Tumuachie Mungu ampe ulinzi.
Msisahau Pickup iliyoachwa getini kwake siku za nyuma, pamoja na kuwa hakutaka kuliongelea na alitumia hekima na kuombwa asilizungumzie basi tuishie hapo, tumesha mjua, tuna muelewa, na tuna mfahamu kuwa ana mbinu kali sana za utambuzi na ukwepaji.
Atakuwa mbunge wa Singida Kaskazini, andikeni tarehe ya leo huu ni utabiri binafsi. Na nyalandu endapo unasoma uzi huu na ukipata ubunge ni DM walau nikupongeze.