Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia Nchini.
Akizungumza katika Kituo cha Kupiga Kura Ilongero Nyalandu Amesema Amejionea Hali ya Utulivu na Amani Ikitawala katika Zoezi la Upigaji wa Kura.
PIA SOMA
- LGE2024 - Nyalandu: CCM ikiyumba Tanzania itadorora, Maendeleo ya kweli yataletwa na CCM