Nyama choma

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Mtu mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa 3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.

Akauliza, kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata kitu?

Hadi saai hawajamjibu... Ameenda tafutwa Meneja. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani dawa ni kununua iliotayarishwa kabisa,
Yaani unamwambia
'ebana naomba (nipatie) nyama iliochomwa 1kg'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…