ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kutokana na tamaduni na imani zetu zipo nyama za wanyama mbalimbali ambazo tumekuta haziliwi na wazazi wetu na sisi tukajitenga nazo ingawaje sehemu nyingine katika nchi kama China zinaliwa.mfano Mimi Kuna nyama ambazo sijawahi kuzila lakini Kama ukiniandalia vizuri na pilipili ukaweka ukaichoma vzur lazima niile.
Nyama ya panya ila awe panya buku yule mkubwa wa porini sio vidogo vidogo
Nyama ya nyani nakula vizuri tu ukiichoma isiwe ya mchuzi
Nyama ya kanyau.ila iwe roast
Nyama ya Simba,chui kifupi carnivores wote naweza kuwala
Wanyama ambao siwezi kula nyama yao ni chura ,nyoka na fisi na homosapiens mwenzangu siwezi kumla