Nyama gani isiyoliwa unayoweza kuila?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kutokana na tamaduni na imani zetu zipo nyama za wanyama mbalimbali ambazo tumekuta haziliwi na wazazi wetu na sisi tukajitenga nazo ingawaje sehemu nyingine katika nchi kama China zinaliwa.mfano Mimi Kuna nyama ambazo sijawahi kuzila lakini Kama ukiniandalia vizuri na pilipili ukaweka ukaichoma vzur lazima niile.
Nyama ya panya ila awe panya buku yule mkubwa wa porini sio vidogo vidogo
Nyama ya nyani nakula vizuri tu ukiichoma isiwe ya mchuzi
Nyama ya kanyau.ila iwe roast
Nyama ya Simba,chui kifupi carnivores wote naweza kuwala
Wanyama ambao siwezi kula nyama yao ni chura ,nyoka na fisi na homosapiens mwenzangu siwezi kumla
 
Mnyama akiwa haramu kuliwa kwenye dini yangu simli ila mfano ndio amealalishwa katika dini yangu nakula tu hata mbwa, paka, ngurue, nyani, kenge nk

NB: Dini yangu ndio itayopanga
 
Hivi unaongelea mnyama kabisa kabisa?
Mie mnyama ambaye naweza kumla japo mababu zetu walikuwa hawamtumii sana "P.E.N.I...." nailamba haswaaa
 
Nyama yoyote ntakayokuta watu wa eneo husika wanakula bila kudhurika ntakula.
Unaposema nyama isiyoliwa unatumia vigezo vipi mkuu?
Hongera sana uliongeza protein mwilini safi sana, hii sasa ndio nyama...ila ya chura jaribu aisee nenda kwenye Chinese restaurants jaribu ni nyama tamu sana
 
Nyama yeyote ikiandaliwa vyema napita nayo Vizuri.


NB; Situmii Sumu na Mchanga kwa upande wa vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…