Nyama na Maziwa ya soya

Nyama na Maziwa ya soya

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,615
Reaction score
331
Wasalamu wote. Naombeni msaada kwa anajejua hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza nyama za soya pamoja na maziwa ya soya ili nipunguze kula nyama za wanyama na kunywa maziwa yatokanayo na wanyama. msaada p'se.
 
dah .... nyama ya soya inaitwa Tofu in chinese .... pale morocco mitaa ya nyumba ya mkuu jk kuna market ya wachina wanatengeneza pale pale na kuuza .... infact it is a very healthy food
 
dah .... nyama ya soya inaitwa Tofu in chinese .... pale morocco mitaa ya nyumba ya mkuu jk kuna market ya wachina wanatengeneza pale pale na kuuza .... infact it is a very healthy food

Mkuu wachina hawa hawa !!!
 
dah .... nyama ya soya inaitwa Tofu in chinese .... pale morocco mitaa ya nyumba ya mkuu jk kuna market ya wachina wanatengeneza pale pale na kuuza .... infact it is a very healthy food
Kiukweli nimeshawahi kula nyama ya soya ni tamu sana na hata maziwa yake ni mazuri sana kiafya naomba anayejua kutengeneza please.
 
mimi huwa nakaanaga kitunguu mpaka kinakuwa brown,halafu na tia nyanya nakaanga mpaka zinaiva,natia karoti,then ndo natia hizo nyama naoneza na maji kidogo,nafuika mpaka zinaivaa,naangalia kama mchuzi hautoshi naongeza maji naicha inachemka kwa mda kidogo then naepua(waweza tia nazi kama wapenda,viungo pia waweza kuweka kama ni mpenzi wa viungo)
 
Back
Top Bottom