dah .... nyama ya soya inaitwa Tofu in chinese .... pale morocco mitaa ya nyumba ya mkuu jk kuna market ya wachina wanatengeneza pale pale na kuuza .... infact it is a very healthy food
Kiukweli nimeshawahi kula nyama ya soya ni tamu sana na hata maziwa yake ni mazuri sana kiafya naomba anayejua kutengeneza please.dah .... nyama ya soya inaitwa Tofu in chinese .... pale morocco mitaa ya nyumba ya mkuu jk kuna market ya wachina wanatengeneza pale pale na kuuza .... infact it is a very healthy food