Jaribu siku moja supu ya kichwa na kongoro za kitimoto hakika utaenjoy.Ila kitimoto sura yake huwa siipendi
Nilikula miaka fulani kule arusha ikaniletea rashes, nina allergy nayoJaribu siku moja supu ya kichwa na kongoro za kitimoto hakika utaenjoy.
#MaendeleoHayanaChama
Napendaga sana hiyo michongo aiseeNyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!
Nipe order yako mapema nikuletee
Kilo 1 tsh 11,000 tu!! Free delivery nakuletea Hadi barabarani!
Fanya kutupigia ujirambe aisee! Hii kitu Ni utamu uliopitiliza!!
Call/Text 0682865155
Wapi mkuu Nije nibebe kilo kumi
Mbichi bossImepikwa au haijapikwa?
Mbezi goba bosi karibuWapi mkuu Nije nibebe kilo kumi
Karibu mkuuNapendaga sana hiyo michongo aisee
Sasa hiyo sura yake ndiyo inayoifanya nyama yake kuwa tamu kuliko hata ile ya mbuzi na ng'ombe.Ila kitimoto sura yake huwa siipendi
TSH ngapi?Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!
Nipe order yako mapema nikuletee
Kilo 1 tsh 11,000 tu!! Free delivery nakuletea Hadi barabarani!
Fanya kutupigia ujirambe aisee! Hii kitu Ni utamu uliopitiliza!!
Call/Text 0682865155
View attachment 2419773
TakbiiirWapi mkuu Nije nibebe kilo kumi
Kwani huwa anawabusu?Jaribu siku moja supu ya kichwa na kongoro za kitimoto hakika utaenjoy.
#MaendeleoHayanaChama
Wapi?
Mko eneo gani natak iliyokaangwa mkuuMbichi boss