PG Butchery;
tupo Ukonga Banana Relini, karibu tukuhudumie Nyama, Samaki (Sato & Sangala) kwa bei nafuu.
tunapokea Order ya Samaki na Nyama kwa watu wa Hotelini. Wachoma Nyama, Mishikaki, Mama ntilie, Wauza Supu n.k , kwa Mawasiliano zaidi tupigie kupitia +255716109169 au +255755057229. *Huduma bora ndiyo kipaumbele chetu.