msaada..kila ninapokula nyama kwa wingi lazima tumbo livuruge..iwe ya ng'ombe,mbuzi ama kuku,bata lazima nitaharisha ila nikila kama vipande viwil ama vitatu siharishi...je nitakuwa na tatizo gani na njia ya kutibu hili tatizo ni lipi..karibuni.

Unakula mpaka unavimbiwa lazime tumbo livurugike! Na ukila kidogo unasema halisumbui!..sasa wewe unataka ushauri gani na chanzo cha tatizo unakijua ni kula sana?