Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 Oct 14, 2013 #1 Habari zenu wadau! Hiv kunaukweli wowote kuwa nyama ya mbuzi inaharibu magoti? Wataalam tunaomba mtiririke ni sababu zipi zinazosababisha ugonjwa wa miguu.
Habari zenu wadau! Hiv kunaukweli wowote kuwa nyama ya mbuzi inaharibu magoti? Wataalam tunaomba mtiririke ni sababu zipi zinazosababisha ugonjwa wa miguu.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Oct 14, 2013 #2 ni kweli mkuu ila sina ushahidi
Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 Oct 15, 2013 Thread starter #3 utafiti said: ni kweli mkuu ila sina ushahidi Click to expand... Ninachohitaji ni ufafanuzi wa kitaalamu haya sasa mtiririkeeeeee.
utafiti said: ni kweli mkuu ila sina ushahidi Click to expand... Ninachohitaji ni ufafanuzi wa kitaalamu haya sasa mtiririkeeeeee.