nyama ya ng'ombe kwa bei ya jumla moshi mjini

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
2,968
Reaction score
8,139
Wadau nipo kwenye mchakato wa kufungua bucha huku moshi kwa sasa bado nafanya uchunguzi kuhusu mahitaji ya hii biashara; nahitaji kujua kwa huku moshi ni wapi wanauza nyama ya ng'ombe kwa wafanyabiashara wenye mabucha? Nitashukuru sana wakuu nikifahamishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…