Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai?
Wakuu naombeni mnijulishe.
Wakuu naombeni mnijulishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo?Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai?
Wakuu naombeni mnijulishe.
Yaani limao linasaidia vidonda vya tumbo mbona watu wanasema halitakiwi kwenye vidonda vya tumboYani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo?
Unashindwa kupambana na acid na gas?
Unajuwa kama limao lina Alkaline nyingi ambayo ni anti decease?