Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Aug 8, 2024 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe.
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 8, 2024 #2 ChristopherPaul15 said: Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe. Click to expand... Yani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo? Unashindwa kupambana na acid na gas? Unajuwa kama limao lina Alkaline nyingi ambayo ni anti decease?
ChristopherPaul15 said: Kama kichwa cha habari kinavyosema, ugali na nyama ya utumbo wa ng'ombe kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo inafaa au haifai? Wakuu naombeni mnijulishe. Click to expand... Yani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo? Unashindwa kupambana na acid na gas? Unajuwa kama limao lina Alkaline nyingi ambayo ni anti decease?
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Aug 8, 2024 Thread starter #3 Unavoidable Servant said: Yani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo? Unashindwa kupambana na acid na gas? Unajuwa kama limao lina Alkaline nyingi ambayo ni anti decease? Click to expand... Yaani limao linasaidia vidonda vya tumbo mbona watu wanasema halitakiwi kwenye vidonda vya tumbo
Unavoidable Servant said: Yani unakubali kabisa kuwa wewe ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo? Unashindwa kupambana na acid na gas? Unajuwa kama limao lina Alkaline nyingi ambayo ni anti decease? Click to expand... Yaani limao linasaidia vidonda vya tumbo mbona watu wanasema halitakiwi kwenye vidonda vya tumbo