U ushanka Member Joined Nov 5, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Nov 16, 2014 #1 Naomba msaada wenu tafadhali,nyama za mguu zinaniuma had nashindwa kutembea.ni upande wa nyuma kutoka kwenye goti had kwenye unyayo.tafaaaaaadhali nisaidien tatizo ni nin?
Naomba msaada wenu tafadhali,nyama za mguu zinaniuma had nashindwa kutembea.ni upande wa nyuma kutoka kwenye goti had kwenye unyayo.tafaaaaaadhali nisaidien tatizo ni nin?
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,997 Reaction score 15,112 Nov 16, 2014 #2 Je, unakula nyama nyekundu na maharage kwa wingi? Kama ndiyo basi punguza !
U ushanka Member Joined Nov 5, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Nov 16, 2014 Thread starter #3 Zamiluni Zamiluni said: Je, unakula nyama nyekundu na maharage kwa wingi? Kama ndiyo basi punguza ! Click to expand... hapana zaid sana nakula mboga majan kwa wingi
Zamiluni Zamiluni said: Je, unakula nyama nyekundu na maharage kwa wingi? Kama ndiyo basi punguza ! Click to expand... hapana zaid sana nakula mboga majan kwa wingi
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 16, 2014 #4 Unafanya mazoezi? Unavaa viatu flat sana? Fanya mazoezi. Lakini pia nenda hospitali kwa vipimo zaidi.
Unafanya mazoezi? Unavaa viatu flat sana? Fanya mazoezi. Lakini pia nenda hospitali kwa vipimo zaidi.
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,997 Reaction score 15,112 Nov 17, 2014 #5 ushanka said: hapana zaid sana nakula mboga majan kwa wingi Click to expand... Ushauri mkubwa ni kuenda HOSPITALI...usijaali utapona tu na utkuwa vyema!! Good luck.
ushanka said: hapana zaid sana nakula mboga majan kwa wingi Click to expand... Ushauri mkubwa ni kuenda HOSPITALI...usijaali utapona tu na utkuwa vyema!! Good luck.
U ushanka Member Joined Nov 5, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Nov 17, 2014 Thread starter #6 Zamiluni Zamiluni said: Ushauri mkubwa ni kuenda HOSPITALI...usijaali utapona tu na utkuwa vyema!! Good luck. Click to expand... asante sana kwa ushaur wako
Zamiluni Zamiluni said: Ushauri mkubwa ni kuenda HOSPITALI...usijaali utapona tu na utkuwa vyema!! Good luck. Click to expand... asante sana kwa ushaur wako