Nyama za pua zinasababisha nashindwa kupumua

yotekwayote

New Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Wadau naomba kujua Kuhusu daktari bingwa yeyote wa ENTs katika hospital yeyote mkoa wa Mbeya pua zinabana hadi maranyingine nashindwa kupumua swala hili limeathiri sana utendaji wangu wa kazi.... Ushauri na maoni nitafurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…