Kuna habari nimezipata muda si mrefu kutoka Mwanza zikieleza kuwa matokeo ya Nyamagana yamegeuzwa na kwamba sasa msimamizi wa uchaguzi ana mpango wa kumtangaza Masha kama mshindi wa uchaguzi jimbo la Nyamagana! Nasikia watu wamekasirika na biashara sehemu kubwa zimefungwa. Wenya taarifa zaidi watupashe.
Haiwezekani, wenje wa CHADEMA kamuacha mbali sana. Ila umati mkubwa wamevamia ofisi za jiji wakiwa na mawe, fimbo, petrol, rungu wanadai matokeo la sivyo ofisi ya mkurugenzi wa jiji inachomwa. Nipo mwanza nimeshuhudia mwenyewe saa saba hii
haiwezekani, wenje wa chadema kamuacha mbali sana. Ila umati mkubwa wamevamia ofisi za jiji wakiwa na mawe, fimbo, petrol, rungu wanadai matokeo la sivyo ofisi ya mkurugenzi wa jiji inachomwa. Nipo mwanza nimeshuhudia mwenyewe saa saba hii
Jamani kwanini hawatangazi mara wanapomaliza majumuisho?????? This is ridiculous!!!!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Kuhesabiwa upya kura iwe ni dhambi kubwa! Masanduku yameshakaa mahali ambapo hayakuwa chini ya uangalizi. Ni afadhali wakatae uchaguzi wote urudiwe, na hapa ndo wanakiona cha moto. Lakini kung'ang'ania kura kuhesabiwa tena ni kuwafanya watu wajinga. Kura zilihesabiwa mbele ya mawakala wao na wakakubali kuwa hayo ndo matokeo. Sasa hivi wanaamini ni nini kimebadilrika? Hayo maboksi yatakayohesabiwa upya si yale yaliyopigiwa kura na wananchi, yatakuwa ya kwao waliojipigia kura wenyewe. Re-count isikubaliwe. Kulikuwa na nafasi ya kufanya recount pale pale siku ile ile kwa masanduku yale yale yaliyopigiwa kura na wananchi.
Kwa nini reccount ziwe zinaombwa na wagombea ambao hata hawakuwepo wakati zinahesabiwa kura? CCM hawawezi kuona aibu. Watafanya chochote kuhakikisha wana-hang on power!