Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari yako Nyamagana !

Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana.
1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station).

2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni .

Oya hii itakuwa sawa sana na mji utapendeza sana.

Karibu.
 
Back
Top Bottom