Nyambura Moremi angefaa kuwa WHO Africa Director Kuliko Prof. Janabi

Nyambura Moremi angefaa kuwa WHO Africa Director Kuliko Prof. Janabi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Ni maoni yangu lakini simjui hanijui na hatujuani ila angefaa zaidi ya Prof.Janabi 👇👇

I had the honor of officiating the first-ever training on Biosafety Cabinet Certification at the Eastern Africa Regional Centre of Excellence for Biosafety and Biosecurity, hosted by the Tanzania National Public Health Laboratory. In attendance:

Pia soma Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Gel_dYSWAAAGtiI.jpg
Gel_dItX0AAEtio.jpg
 
Nashukuru nimetoka kuisoma muda ule ule .ila kwa maoni yangu binafsi naona CV ya Profesa Mohammedi Janabi Ni nzito na kubwa zaidi na yenye kila aina ya uzoefu kuliko ya Dada yetu hapa. CV ya Profesa Janabi ni lazima iwabubujishe machozi ya furaha wazungu na wa Afrika siku watakapo anza kuisoma. Kikubwa ni kwamba acha huyu Dada aendelee kupata uzoefu na kutumikia Taifa kwa nafasi hiyo ya ofisi ya Maabara ya Taifa .ila huwezi ukalingaisha cv yake na ile ya profesa Janabi .itakuwa ni kumkosea heshima Profesa Mohammedi Janabi kitaaluma.

Profesa Janabi Amepiga shule kwelikweli na ameiva kisawasawa.Kwangu mimi Profesa Mohammedi Janabi ni chaguo sahihi kabisa na tunapaswa kujivunia uwepo wa Wasomi na wataalumu aina ya Profesa Janabi hapa Nchini
 
Shida kwenye Ile nafasi wanazingatia mambo mengi zaidi ya shule hususani leadership skills n exposures.

Pia Kwa umri wa Janabi akishinda itakuwa bahati.

I stand to be corrected
 
Shida kwenye Ile nafasi wanazingatia mambo mengi zaidi ya shule hususani leadership skills n exposures.

Pia Kwa umri wa Janabi akishinda itakuwa bahati.
Profesa Janabi ana kila kitu na kusheheni kila sifa ambayo WHO wanaihitaji.Kiuongozi ndio kabisaa profesa kaiva vizuri sana .ni mtu mtulivu na makini sana. Hana ukurupukaji wala Papara.. kuhusu umri hilo halina nguvu hata kidogo maana profesa bado ana nguvu kubwa sana kiakili na kimwili na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu kabisa .swala la umri siyo kigezo sana maana kuna watu wana umri mdogo lakini wamechoka kiafya na hata kiakili.Ndio Maana wamarekani wamemchagua Donald Trumps kuwa RAIS wao.sasa jiulize ana miaka mingapi? Je kwenye Republican hakukuwa na watu wengine?

Profesa Janabi anakidhi vigezo na sifa zote ambazo WHO wanazihitaji.tena huyu profesa Janabi ana CV kubwa na nzito kuliko hata ya marehemu Dkt Faustine Ndugulile aliyekuwa ameshinda kenye nafasi hiyo.
 
Unafikiri WHO wanapima maparachichi na mayai visa.............akae hapo hapo aendelee kupima mkojo wa wahujumu uchumi
 
Back
Top Bottom