ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Google tuu utaipataCv yake ipoje ili niangalie kwa kumuweka.
Nisaidie Rafiki yangu na Mwana Mbeya mwenzangu .Maana nipo nawapa Elimu wana CHADEMA hapa juu ya Mambo makubwa na mawaziri aliyoyafanya Rais Samia.Wametulia wanasikiliza mpaka wengine naona wameanza kububujikwa na Machozi.Google tuu utaipata
Ni huyu hapa Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19Nisaidie Rafiki yangu na Mwana Mbeya mwenzangu .Maana nipo nawapa Elimu wana CHADEMA hapa juu ya Mambo makubwa na mawaziri aliyoyafanya Rais Samia.Wametulia wanasikiliza mpaka wengine naona wameanza kububujikwa na Machozi.
Mix-by-assMixx by yas
Nashukuru nimetoka kuisoma muda ule ule .ila kwa maoni yangu binafsi naona CV ya Profesa Mohammedi Janabi Ni nzito na kubwa zaidi na yenye kila aina ya uzoefu kuliko ya Dada yetu hapa. CV ya Profesa Janabi ni lazima iwabubujishe machozi ya furaha wazungu na wa Afrika siku watakapo anza kuisoma. Kikubwa ni kwamba acha huyu Dada aendelee kupata uzoefu na kutumikia Taifa kwa nafasi hiyo ya ofisi ya Maabara ya Taifa .ila huwezi ukalingaisha cv yake na ile ya profesa Janabi .itakuwa ni kumkosea heshima Profesa Mohammedi Janabi kitaaluma.
Wewe mwenyewe hakuna ulipojiweka ndio utaweza kuweka wengine kweliπCv yake ipoje ili niangalie kwa kumuweka.
Shida kwenye Ile nafasi wanazingatia mambo mengi zaidi ya shule hususani leadership skills n exposures.Nashukuru nimetoka kuisoma muda ule ule .ila kwa maoni yangu binafsi naona CV ya Profesa Mohammedi Janabi Ni nzito na kubwa zaidi na yenye kila aina ya uzoefu kuliko ya Dada yetu hapa. CV ya Profesa Janabi ni lazima iwabubujishe machozi ya furaha wazungu na wa Afrika siku watakapo anza kuisoma. Kikubwa ni kwamba acha huyu Dada aendelee kupata uzoefu na kutumikia Taifa kwa nafasi hiyo ya ofisi ya Maabara ya Taifa .ila huwezi ukalingaisha cv yake na ile ya profesa Janabi .itakuwa ni kumkosea heshima Profesa Mohammedi Janabi kitaaluma.
Profesa Janabi Amepiga shule kwelikweli na ameiva kisawasawa.Kwangu mimi Profesa Mohammedi Janabi ni chaguo sahihi kabisa na tunapaswa kujivunia uwepo wa Wasomi na wataalumu aina ya Profesa Janabi hapa Nchini
Huyo UWT naweza ku-google?Google tuu utaipata
Profesa Janabi ana kila kitu na kusheheni kila sifa ambayo WHO wanaihitaji.Kiuongozi ndio kabisaa profesa kaiva vizuri sana .ni mtu mtulivu na makini sana. Hana ukurupukaji wala Papara.. kuhusu umri hilo halina nguvu hata kidogo maana profesa bado ana nguvu kubwa sana kiakili na kimwili na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu kabisa .swala la umri siyo kigezo sana maana kuna watu wana umri mdogo lakini wamechoka kiafya na hata kiakili.Ndio Maana wamarekani wamemchagua Donald Trumps kuwa RAIS wao.sasa jiulize ana miaka mingapi? Je kwenye Republican hakukuwa na watu wengine?Shida kwenye Ile nafasi wanazingatia mambo mengi zaidi ya shule hususani leadership skills n exposures.
Pia Kwa umri wa Janabi akishinda itakuwa bahati.
Wewe ukijifukizaga Ma moshi kichwani mwako unabakiaga ukijiropokea tu kama mlevi wa gongo.Janabi anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM
Yupo UWT ChunyaWewe mwenyewe hakuna ulipojiweka ndio utaweza kuweka wengine kweliπ
Kwahiyo hamtaki Makamu mwenye CV nzito?Wewe ukijifukizaga Ma moshi kichwani mwako unabakiaga ukijiropokea tu kama mlevi wa gongo.
Umeanza dharau zako dogoππHuyo UWT naweza ku-google?
Acha dharau dogoYupo UWT Chunya