Nyambura Moremi angefaa kuwa WHO Africa Director Kuliko Prof. Janabi

Hv nafasi hiyo ya WHO ni zamu ya Tanzania au kuna ushindani na nchi nyingine za Afrika na ulimwengu kwa ujumla wake.Na kama nafasi hiyo ikirudi tena Tanzania basi itakuwa ni zamu yetu tu hakuna namna,lkn kama sivyo basi hapo ni sawa sawa na kubeti tu.
 
Ushindani
 
Kwa Sasa,,Tumeshaamua Ni Janabi Hao Wengine Waendelee Na Majukumu Yao Ya Kawaida Hadi Pale Itakapotangazwa Vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…