Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Baada ya ya vita vya Kagera siraha zilitapakaa sana mkoani Mwanza na kanda ya ziwa.
Majambazi wakubwa waliotikisa jiji la Mwanza miaka ya 19805-1988 ni Methu na Nyamhanga. Hivi hawa watu bado wapo?
Nyamhanga kwao ilikuwa milima ya Nyashana. Methu alikiwa akiishi maeneo ya Mkudi.
Siku moja wakaji Methu anakamatwa mbwa ya polisi ilivunja mti wa mpapai ambao ilikuwa imefungwa, hii ni baafa ya kunusa bundukiniliyokuwa ndani ya nyumba yao Methu.
Miaka ya 1980 baada ya vita ya Kagera Mwanza haukuwa mji salama kabisa.