FactKanda ya ziwa wababe wanao aminiwa huko ni waoga tu ukizinguana nae anakimbia unajua kaondoka kumbe kaenda nyumbani kuchukua panga Yan washamba ndo wanajidai wahuni huko sasa kama mwanaume kweli kwann ukimbilie silaha.
Itakua wameshakufa hao nchi hii ukiwa na scandal ya ujambazi wa kutumia bunduki huwez kuishi tena kwa miaka hii labda uwe uliokoka tangu miaka ya 2001