ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali pamoja na watu wa Nyamongo njoo I hapa mtueleze shida ni ni ipi kati yenu na wawekezaji wa mgodi wa North Mara Kiasi kwamba vurugu Kila mara?
Vurugu hizi zimekuwa zinachukua maisha ya watu na zilianza miaka Ile ya Mkapa Hadi Leo hii Bado ni shida.
Na nyie Chadema ambao nmachukulia siasa na kuchochea watu walete vurugu mnanufaika vipi na hasara ya uhai wa watu?
Pia soma: Waziri Masauni na Waziri Mavunde wawasili Mara kwa ajili ya mgogoro Kati ya Wananchi na Wamiliki wa Mgodi wa North Mara
Mbona migodi Iko Mingi sana hapa Tanzania lakini Kwa nini Kila mara ni huko Nyamongo tuu?
VIDEO:
Mauaji ya kutisha Mgodini Nyamongo, John Heche kumfuata Rais Samia Suluhu Hassan
My Take
Serikali tumeni watu wa Elimu Kwa Umma na Kisaikolojia wakawasaidie hao watu lakini pia muwadhibiti Wanasiasa wanaoshadidia vurugu hasa Chadema.