Mbona migodi Iko Mingi sana hapa Tanzania lakini Kwa nini Kila mara ni huko Nyamongo tuu?
Your browser is not able to display this video.
VIDEO:
Mauaji ya kutisha Mgodini Nyamongo, John Heche kumfuata Rais Samia Suluhu Hassan
My Take
Serikali tumeni watu wa Elimu Kwa Umma na Kisaikolojia wakawasaidie hao watu lakini pia muwadhibiti Wanasiasa wanaoshadidia vurugu hasa Chadema.
Wana kitu kinaitwa tegesha kwa kujenga nyumba kwenye maeneo ya mgodi ili kadri mgodi unavyotumia maeneo yake ili uweze kuwalipa!
Wanasiasa ndo wanaharibu sana maana binadamu kuuawa ndo inakuwa mtaji wa kisiasa!
Ukimwangalia Waitara na Heche siasa za Nyamongo za mauaji na mgogoro na mgodi ndo source ya kuonekana mtetezi wa wananchi ama laah!
Hapa wananchi waambiwe ukweli kama mzungu alipata leseni bila fidia ni uzembe wa serkali hii ya CCM kwa maana Mzungu anaweza kutoa fidia ila watu wa halmashauri wanawahujumu wananchi!
Sio wajinga waliosema adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenzake!