Nyamongo: Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiribo Ltd wadai mishahara ya miezi 4

Nyamongo: Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiribo Ltd wadai mishahara ya miezi 4

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Sisi ni wafanyakazi wa Kiribo Ltd Nyamongo tumezurumiwa mishahara yetu ya miezi minne tuko wafanyakazi 250 na tunadai takiribani milioni miatano na NSSF takiribani bilioni moja.

Kiribo ameshafilisika mtamtoa roho mzee wa watu?
 
Mkurugezi wa kiribo Kama sikosei alikua ako group Kama chief operation officer Dr mpozi, akaondoka akafingua hii kampuni ya kiribo Kama sikosei
 
Kiribo ina mitambo ya gharama kubwa sana,kwa nn asiuze hata dampa 2 tu atawalipa hao watu madai yao yote na chenji itabaki anywe bia apunguze stress
 
Kiribo ina mitambo ya gharama kubwa sana,kwa nn asiuze hata dampa 2 tu atawalipa hao watu madai yao yote na chenji itabaki anywe bia apunguze stress
Sasa iyo mitambo nani ataweza kununua wakati huu hela ngum7. Na hata akitokea mtu anunue itamsaidia nini?
 
poleni sana miss zomboko ko kampuni ya kiribo ni kama vile imeisha kufa, vipi hukupata chaka jingine ukute unaskilizia?
 
Back
Top Bottom