Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kiribo ya kitambo sanaMkurugezi wa kiribo Kama sikosei alikua ako group Kama chief operation officer Dr mpozi,akaondoka akafingua hii kampuni ya kiribo Kama sikosei
Sasa iyo mitambo nani ataweza kununua wakati huu hela ngum7. Na hata akitokea mtu anunue itamsaidia nini?Kiribo ina mitambo ya gharama kubwa sana,kwa nn asiuze hata dampa 2 tu atawalipa hao watu madai yao yote na chenji itabaki anywe bia apunguze stress