Nyamuswa, MARA: Wananchi wamlilia Hayati Magufuli

Nimeiangalia hiyo video na sijalia!!

Hapo wana watu wafuatao.

Mwenyekiti wa Kitongoji - CCM

Mwenyekiti wa Kijiji - CCM

Diwani - CCM

Mbunge - CCM

Na hao wote walipatikana kwa nguvu za Magufuli, kwa ivo wanataka kusema kwamba huyo wanayemlilia aliwaletea watu wabaya wasio na uwezo wa kuwasaidia kwenye shida zao?? Wanaweza kutoa mfano wa hapo kijijini kwao ni kitu Gani Magufuli aliwahi kuingilia kati au wanasema kile walichokaririshwa kwamba ni sasa tu ndiyo serikali haijali watu wake??
 
JPM aliipenda Tanzania na Afrika Kwa ujumla. Alikua ni mzalendo wa kweli.

Chaguzi zijazo ni kati ya uzalendo na uhalifu wa Mali za umma.

Hakika hakuna Mgombea miaka ijayo atakayeshinda kirahisi bila kuwa na falsafa ya Magufulificatin hata nje ya Tanzania.

Watu wamegundua kuwa nchi hii Ina pesa na Mali nyingi sana tatizo ni waliopewa dhamana kugeuka na kuwa wezi na wafujaji wa Mali za umma. Bahati mbaya Kwa Sasa hakuna wa kuwazuia.
Watanzania wanataka Kiongozi wa kulinda Mali zao na Fedha za umma bila kulegea au kuwa na huruma . Mwizi anatakiwa agongwe chuma tuu.
 
Wellsaid
 
Back
Top Bottom