JPM aliipenda Tanzania na Afrika Kwa ujumla. Alikua ni mzalendo wa kweli.
Chaguzi zijazo ni kati ya uzalendo na uhalifu wa Mali za umma.
Hakika hakuna Mgombea miaka ijayo atakayeshinda kirahisi bila kuwa na falsafa ya Magufulificatin hata nje ya Tanzania.
Watu wamegundua kuwa nchi hii Ina pesa na Mali nyingi sana tatizo ni waliopewa dhamana kugeuka na kuwa wezi na wafujaji wa Mali za umma. Bahati mbaya Kwa Sasa hakuna wa kuwazuia.
Watanzania wanataka Kiongozi wa kulinda Mali zao na Fedha za umma bila kulegea au kuwa na huruma . Mwizi anatakiwa agongwe chuma tuu.