Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
NYANGE BINT CHANDE ALIFATA NYAYO ZA BI. TITI MOHAMED
Picha hiyo inamuonyesha Bi. Nyange bint Chande na mumewe Bwana Mangara wakiwa na wanafamilia yao.
Nyange bint Chande alitoa nyumba yake kuwa ofisi ya TANU mjini Tabora kupigania uhuru wa Tanganyika.