Nyange to da world

Penologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
790
Reaction score
1,923
Wakuu habari, hopeful mko poa wote,
Mmoja kwa moja kwenye mada, nikiwa nikiangalia television ya taiga la Zimbabwe ya burudani inayokwenda kwa jina la JIVE TV kwa muda sasa, cha ajabu na kupendeza ni kwamba wanapiga nyimbo za South Africa,Congo,Nigeria na Zimbabwe kidogo.

Ila ikija kwenye suala la bongo zitapigwa nyimbo za nyange mfululizo alizoimba mwenyewe na colabo za kutosha hadi unaweza kuzani ni television ya bongo kumbe ni Zimbabwe. Huyu jamaa anastaili pongezi bhana,tukiachilia mbali mapungufu kadhaa aliyonayo ameupeleka mziki wa bongo kimataifa. Television nyingine zinazocheza mziki wa bwana nyange mfululizo ni LOL Africa na Fresh Tv za Ghana.

Mbali na channel O,MTV base na Trace Music bwana nyange anatamba na kusumbua kwenye local chanells za Afrika magharibi na kusini mwa Afrika. Kongole wa diamond na management yake kwa ujumla.

NB: Nitoe rai kwa wasanii wengine wa bongo na East Africa waache kujilinganisha na kushindana na bwana nyange, bali waumgane naye wajifunze na kupata mbinu za kutoboa kimataifa.
 
Mziki wa Nyage unajielezea wenyewe kupitia data na numbers bila kusahau unasafiri sana na ndio maana kishapiga shows 90% ya nchi zote za sub saharan.

Jamaa yupo vizuri na anajua anachofanya,hautumii nguvu kumwelezea.
 
Pamoja na thread nzuri,jina NYANGE limerudiwa maranyingi kwa malengo maalum ya mleta mada.
 
Hivi channel O mbona dstv haipo siku hz?
 
Ili usipate presha inabidi mtu ukubali kuwa nyange hafai kulinganishwa na msanii yoyote hapa nchini kwa hatua alizopiga.
Iwe unampenda au humpendi lakini ndiyo ukweli, na ukweli humweka mtu huru
 
Cha ajabu ni kipi ashakuwa msanii mkubwa huyo
Sikh hizi wanapiga nyimbo za wabongo nyingi tu sio nyange tena peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…