LoyalTzCitizen JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,241 Reaction score 940 Dec 16, 2010 #2 Chizi kapewa rungu! huyu ni original na wala sio Ngabu au Zubiani huh!
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,468 Dec 16, 2010 #3 duh! wala si photoshop hiyo
B Batale JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,148 Reaction score 556 Dec 16, 2010 #4 Kazi kwenu majangiri hawa jamaa wakifundishwa kuwatambua watakuwa wanawapora silaha na kuwageuzia papo hapo bila maelezo kama muwafanyiavyo wanyama wenzao.
Kazi kwenu majangiri hawa jamaa wakifundishwa kuwatambua watakuwa wanawapora silaha na kuwageuzia papo hapo bila maelezo kama muwafanyiavyo wanyama wenzao.
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Dec 16, 2010 #5 lol, kalala katikati ya barabara ole wako upite
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,126 Dec 20, 2010 #6 je ni target man?
Mama Jack Member Joined Oct 21, 2010 Posts 36 Reaction score 1 Dec 20, 2010 #7 LoyalTzCitizen said: Chizi kapewa rungu! huyu ni original na wala sio Ngabu au Zubiani huh! Click to expand... Na kapewa rungu kweli kweli na atatisha kinoma ile mbaya hali mbaya kwali wakiwezeshwa nawaweze inabidi wafundishwe
LoyalTzCitizen said: Chizi kapewa rungu! huyu ni original na wala sio Ngabu au Zubiani huh! Click to expand... Na kapewa rungu kweli kweli na atatisha kinoma ile mbaya hali mbaya kwali wakiwezeshwa nawaweze inabidi wafundishwe