Nyani kivuruge nimerudi tena JF.

Huu wimbo uliwahi kutolewa Remix? Sisi tulikuwa tunaimba Nyani Mk*ndu tumk*ndule, kasoro mafiga ya mwanachuma.
Mi pia najua hivyo, na niliwahi kubishana na huyu jamaa kuhusu remix yake
 
Mi sikubali mtu achakachue kumbukumbu zangu za utoto kwa maslahi yasiyojulikana....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa amechakachua kwa maslahi yake[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…