Nyani Ngabu nakutakia kheri ya Pasaka popote pale ulipo!

Hahahaha sijui kapotelea wapi huyu kada.
 
Yupo anakujaga humu na ID zingine. Tangu shemeji yake amfukuze kwake alipokuwa analala sebulen siku kawa mjasiriamali wa vitu used uingereza anauza kwenye Facebook

Elli
Hahahahaa.......kama kweli ile jitahida yake ya kutetea chama kile hapa JF haikutambuliwa basi ajue chama kile kina wenyewe. Bora akauze vitu vyake used badoo kuliko facebook
 
Alikuwaga mnoko, mtesi na mnyanyasaji alivyokuwa trafiki huko Mbeya. Kalinunuaga baiskel ya fineksi yani ilikuwa kero kwa nyodo na majigambo.

Wadau wakasema baas wakampiga juju yani kimbola cha hatariii ikabidi asepe Botswana. Dada akampiga sound mme wake wakamtoa Botswana na kumvusha kwa malkia.

Alivyofika kwa malkia akawa limbukeni yeye ni kwenye sofa tu sebulen na remote huku kaninginiza poumbou. Shemeji yake alimmaindi sana.

Thread yake ya mwisho humu alikuwa anamdhihaki braza Ben saanane eti anaigiza kwa kujificha iliniuma kichizi.
 
Back
Top Bottom