Nyani Ngabu yuko wapi?

Mkuu, hapa hoja ni nini? Kutoweka kwa Ngabu na kutojulikana alipo, au kukithiri kwa Makanjanja na Vishoka, ama Mods kusimamia vizuri JF?

Ni kama umerundika pamoja sembe, jivu na mchanga. Pengine kila kimoja kingewekwa peke yake andiko lako lingeeleweka vizuri zaidi.

Kwa sababu hayo mambo matatu yaliyopo hapo hayawezi kuwekwa pamoja, kulingana na mfumo wa uwasilishaji.

Umetaka tumsake Ngabu, hapo hapo unatuonesha unazo taarifa za Ngabu kutokuwepo JF. Kisha, unaanza kazi ya kumchonganisha Ngabu na members.

Nashauri ungeenda na mojamoja kwa sababu hapa ni nyumbani kwa great thinkers itapendeza zaidi threads zetu zikawa zimenyooka.

Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki.

Ova
 
Baadaye nitatoa TAMKO.
 
Yupo Ghaza anafuwa nepi za askari wa kizayuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…