Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
|[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|,
SIKILIZA HII NDUGU YANGU NYANKURUNGU.
_______________________________________
Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
__________________________________________
Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,
it's obvious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "
Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,
Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,
Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,
Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs
Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,
Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,

Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama ilivyo kwa Mama Samia leo,Hayati Rais Magufuli aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa biashara na mambo yakawa yalivyokuwa, Hapa kila mtu anafahamu nini kilitokea.

JE, MNATAKA HII IRUDI ILI TOZO IONDOLEWE?
JIBU NI HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI KABISA KWANI ANASEMA NIBORA TUSIPATE KODI KULIKO TUDHULUMU WATOTO WA MASIKINI,
Sote tunajua Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "
Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA TOZO ILIPWE KIROHO SAFI,
...Kazi indelee na Mungu atangulie...
www.jamiiforums.com

Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...