Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Katika Marais wote naona alikuwa anaenda vizuri kujenga ni uchumi ni Magufuli! Alienda kujenga vyonzo vya mda mrefu vya mapato matharani kubana zaidi kwenye madini, mashirika kutoa gawio, ujenzi wa miundombinu kama barabara, airport ujenzi wa rada, ujenzi wa vyombo vya usafiri na ukarabati wa meli katika maziwa yetu pamoja na ujenzi wa reli ya sgr pamoja ujenzi wa bwawa la umeme huko Rufiji.Utalii uko rebound na ule mgodi wa dhahabu nyanzaga kuanza na viwanda vya kusafisha dhahabu vikifika ata peak sidhan kama mama atakamatika.
Maumivu ya Sasa ni ya miaka 2 kwa sababu uchumi ukiharibika Sana kwa hiyo recovering yake kwa mda mfupi itaumiza.
Nachomkubali Maza hana mda wa kuropoka na kufoka foka wanaelekezana kimya kimya na wasimamizi/ washauri wake kama mawaziri nk tone yao sasa wameanza kumuelewa na kumpigania.
Kwanza ni kweli pasi na shakha kipindi cha nyuma kabla ya Magufuli ilikuwa kawaida tu kutolipa kodi ata kwa wafanya biashara wakubwa na wengi walikwepa na hapo magufuli ndo alipo wabambia.Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020.
SABABU NI HII KUBWA.
Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,
it's ovious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "
Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,
Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,
Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,
Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs
Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,
Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,
Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama Mama Samia leo,Yeye aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa na mambo yakawa yalivyokuwa,
JE, MNATAKA HII? HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI
Lakini Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "
Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA
...Kazi indelee na Mungu atangulie...
Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...www.jamiiforums.com
Ameeen ,kudos Mama yetu mpendwa ,dhuluma ni haramuAsante Sana mleta mada nilijua Samia ameua bendi kumbe bora tuumie wengi,
MAMA HAKAMATIKI TENA BILA DHULUMA YEYOTE
Katika Marais wote naona alikuwa anaenda vizuri kujenga ni uchumi ni Magufuli! Alienda kujenga vyonzo vya mda mrefu vya mapato matharani kubana zaidi kwenye madini, mashirika kutoa gawio, ujenzi wa miundombinu kama barabara, airport ujenzi wa rada, ujenzi wa vyombo vya usafiri na ukarabati wa meli katika maziwa yetu pamoja na ujenzi wa reli ya sgr pamoja ujenzi wa bwawa la umeme huko Rufiji.
Mama anatishaaaaMimi mkoa niliko Maza katangaza km 75 za barabara za lami 3,km 25 kila barabara lakini Magu alizikuta na hakufanya lolote.
Maza mimi namuelewa kinyama.
Unafahamu presumptive tax ni kitu gani?Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020.
SABABU NI HII KUBWA.
Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,
it's ovious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "
Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,
Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,
Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,
Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs
Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,
Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,
Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama Mama Samia leo,Yeye aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa na mambo yakawa yalivyokuwa,
JE, MNATAKA HII? HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI
Lakini Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "
Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA
...Kazi indelee na Mungu atangulie...
Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...www.jamiiforums.com
Acha usaniiKwanza ni kweli pasi na shakha kipindi cha nyuma kabla ya Magufuli ilikuwa kawaida tu kutolipa kodi ata kwa wafanya biashara wakubwa na wengi walikwepa na hapo magufuli ndo alipo wabambia.
Tatizo lenu mnapenda ushabiki. Mnaona bora mfanyabiashara mkubwa akwepe kodi lakini awapatie pesa ya soda na jojo wanamichezo.Kupora hela halali za wafanyabiashara hata siku moja sio kujenga uchumi bali ni kubomoa ,take my words itatuchukukua miaka mingine ishirini kuweza kufikia level ya shuguli za kiuchumi zilizokuwepo kwa mwaka 2015
Acha blah blah bandika ushahidi wa mfumo halisi wa ukokotoaji sio kuweka maneno yako mwenyewe.Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020.
SABABU NI HII KUBWA.
Wakati wa Hayati Rais Magufuli wafanyabiashara hawa wachache wasiozidi 2,7M walihudumia watu zaidi ya 60M kwani walilipa kodi za miaka ya nyuma kwa mtindo wa Makadirio ya nyuma,
Ilikuwa hivi, Tunakupa mashine ya EFD baada ya mwaka tunakuja kukokotoa jumla ya kodi kwa kutumia taarifa za EFD,
it's ovious kodi ya EFD lazima iwe kubwa kuliko ile ya makadirio ya macho na kumsikiliza mteja ( Mfanyabiashara ) yaani " Self Tax assessment "
Mathalani : Kwa miaka kumi mfululizo kwakutumia Self Tax assessment uliluwa unalipa kodi ya Tshs 1,400,000 kwa Mchanganuo wa 350,000|350,000|350,000||350,000 na kila mwaka ukapewa Tax clearance kwamba hudaiwi kodi yoyote,
Baada ya kutathimini kodi kutoka kwenye Taarifa ya EFD tukakuta kodi yako stahiki ilipashwa kuwa Tshs 3,000,000 kwa mwaka,
Sasa kwa kutumia Presumptive Tax Assessment tunasema hiyo tofauti yaani 3,000,000 - 1,400,000 =1,600,000,
Tunaangalia lesseni yako ni lini ulianza biashara,Mfano lesseni yako inasomeka 01|01|2011,
Then, Tunachukua 2021-2011= 10Yrs
Hence,Tunachukua ile tofauti tunazidisha kwa muda uliofanya biashara,
Yaani : 1,600,000 X 10 = 16,000,000"
Tunakupa Invoice ya Tshs 16M kama Tax arrears,
Nimekupeni makadirio ya biashara ndogo tu,Nadhani mmeona kwanini watu walifunga biashara na kukimbilia nchi jirani au walifungua biashara kwa majina mengine,
Hii kitu ilimpa Hayati Rais Magufuli pesa nyingi sana so hakuwa na haja ya kutafuta miamia za tozo kama Mama Samia leo,Yeye aliamua kuumiza wachache kwaajili ya wengi kitu ambacho kiliua kabisa na mambo yakawa yalivyokuwa,
JE, MNATAKA HII? HAPANA HII NI DHULUMA MAMA HATAKI
Lakini Mama Samia hataki kuumiza yeyote yule ndio maana watanzania wote zaidi ya 60M tozo zinatuhusu na waswahili wanasema " kilio cha wengi ni Sherehe, "
Swali, Je, Mnadhani Rais anakosea kuweka tozo kutokana na mazingira niliyoyaeleza hapo juu!?JIBU NI HAPANA
...Kazi indelee na Mungu atangulie...
Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...www.jamiiforums.com
Ungejibu kuhusu shutuma hizo za UONGO wa chama chenu ili kututoa shaka sisi wananchi tusio na vyama.Hao nao wana lao la kujibu.Kama swala ni uongo basi hata wapinzani wanaopambana tuwape nchi nao ni waongo. Waliyoongea kuanzia 2008 mpk 2014 ni tofauti na yale waliyoongea 2015 kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu hadi 2017 au 2018 kama unavyoona pichani.
View attachment 1923583
View attachment 1923593
View attachment 1923594
View attachment 1923595
Na pili unapozungumzia udikteta unasahau yaliyomkuta Chacha Wangwe, Zito, Sumaye nk. Kisa tu uenyekiti wa chama fulani.
Vizuri.Mawazo na hoja zako hazina budi kuheshimiwa lakini ungebalance kwa kudadavua shutuma ambazo hayati anashutumiwa ili kuwasaidia wasio na upande(team) kama mimi kuweza kuchuja mbivu na mbichi.Katika Marais wote naona alikuwa anaenda vizuri kujenga ni uchumi ni Magufuli! Alienda kujenga vyonzo vya mda mrefu vya mapato matharani kubana zaidi kwenye madini, mashirika kutoa gawio, ujenzi wa miundombinu kama barabara, airport ujenzi wa rada, ujenzi wa vyombo vya usafiri na ukarabati wa meli katika maziwa yetu pamoja na ujenzi wa reli ya sgr pamoja ujenzi wa bwawa la umeme huko Rufiji.
Kwenye namba 6 ndio umejichanganya maana hao wakubwa ndio walikuwa wanawapa machinga mizigo na wanauza bila kutoa risiti, Sasa Bora wauze wenyeweAcha blah blah bandika ushahidi wa mfumo halisi wa ukokotoaji sio kuweka maneno yako mwenyewe.
Kwa sasa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi kabisa
1. Ushahidi Nenda Kariakoo au Samora kisha nunua kitu chochote halafu dai risiti uone kitakachotokea
2. Nenda Uhuru na mtaa wa Kongo ingia duka lolote la bidhaa unayohitaji nunua kisha dai risiti usikie utakachoambiwa
3. Nenda Ilala au Temeke kwa wauza vipuri vya magari nunua kisha dai risiti uone kama ujasiri wako utakushauri ubaki eneo hilo
4. Mashine za EFD karibu kila siku unapodai risiti huonekana havifanyi kazi
5. Maghorofa yaliyosimama ujenzi miaka mitano iliyopita kwa sasa karibia yote yanakabia kumalizika, yanajengwa kwa kasi ya ajabu
6. Wamachinga biashara imedoda wengine mpaka wameacha wanatafuta kazi ya shamba boy
Kama ww hauna chama ni kwann unalazimisha mimi niwe na chama? Wote hatuna chama, lkn ukweli lazima uzingatiwe na viongozi wote bila kujali vyama vyao. Hatuwezi kuongelea uongo wa upande mmoja tukaacha wa upande wa pili afu tukija kuwachagua waje na uongo zaidi ya huu tunaoongelea hapa. Itakuwa haina maana ya mabadiliko.Ungejibu kuhusu shutuma hizo za UONGO wa chama chenu ili kututoa shaka sisi wananchi tusio na vyama.Hao nao wana lao la kujibu.
Lini walisema yamepanda? Kushuka utalii sio lazima na kwingine kushuke hususani gold imepanda Sana bei na Mazao ya horticulture.
Pili kwa miezi 3 ameimorove biashara ya Mazao kwa hiyo sio ajabu makusanyo kuongezeka na hata tax administration ya TRA sio kama ya kutishana.