Nyankurungu: Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo ni kweli. Yeye alikuwa na "Presumtive Tax assessment" tulilipa kodi hadi za enzi ya Mkapa na Kikwete

Magufuli alirithi Hitachi ya ambition ya $, katika Benki kuu, lakini yeye hakuacha hata senti na made ni juu.

Pili Mama hana tabia ya kupora watu


Ndio maana yake, Mama ni mtu wa haki lazima tumsapoti watake wasitake
 
Kwenye namba 6 ndio umejichanganya maana hao wakubwa ndio walikuwa wanawapa machinga mizigo na wanauza bila kutoa risiti, Sasa Bora wauze wenyewe
Kwenye namba sita sijajichanganya hivyo ndivyo ilivyo kwa sasa lakini kabla ya hapo wenye biadhaa ndio walikuwa wakiuza kupitia wamaching hivyo kukwepa kodi
 
Màgufool alikuwa jambazi tena sugu ningeshangaa kama angeendelea kuishi mpaka leo
 
 
Kwenye namba 6 ndio umejichanganya maana hao wakubwa ndio walikuwa wanawapa machinga mizigo na wanauza bila kutoa risiti, Sasa Bora wauze wenyewe



Huu ni uongo mtupu, Sio wakati huu wa Mama Samia,
 
Kupora hela halali za wafanyabiashara hata siku moja sio kujenga uchumi bali ni kubomoa ,take my words itatuchukukua miaka mingine ishirini kuweza kufikia level ya shuguli za kiuchumi zilizokuwepo kwa mwaka 2015



Mungu atafanya mkuu tutavuka tu
 
Washabiki wa Mama wengi waimba taarab,naamini 2025 Maji yakimfikia shingoni Mama yenu,basi atamuita Mama Janet aje amsaidie,


yote Sawa tu, Ila hakuna wa kumng'oa Mama 2025,Naomba nawewe mpazie Sauti huyu mteule wa Mungu,
 
Watz hatuko tayar kulipa kodi tuko radhi tukakope kodi za watu wa ulaya na.marekani ila sio sisi kulipa.
 


🤛🏿 🤛🏿
 
CCM BILA YA MAGUFULI NI MAFII YA KUKU
Sasa unataka kutuambia magufuli naye angetoza tozo ukusikia hotuba ya magufuli na video ipo humu kuwa awezi kukimbiza masikini kudai senti wakati mungu katupa raslimali kubwa kubwa tunaziacha bila ya kukusanya kodi tena tunaacha tuibiwe, magufuli ameweza kufanya yote kwa sababu zilizo wazi kabisa baadhi ni
1) matumizi mazuri ya pesa za serikali ( hapa hakucheka na kima yoyote)
2)kuondoa wafanyakazi hewa
3) kudhibiti ufisadi hasa kwa madini na kila sehemu
4) kuondoa ufisadi wa escrow nk
5)kuwabana watumishi kuchapakazi
Haya ni baadhi
 
Washauri wote wa Mama nao wanautaka Urahisi Mpango kabla kuwa VP hakuwa wazo kuja kugombea Urahisi sasa ana pressure waha wenzake yuko karibu aje asaidie Chigoma
 
Heri tozo zinazotuhusu watz wengi kuliko kodi za dhuluma
 
Eti uzi wa kufuta Legacy,[emoji28],bado mtaandika sana,jamaa hasahauliki, endeleeni kujifariji
 

Umenikumbusha vitambulisho vya machinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…