JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
Upvote
1