Unamaanisha kachumbari?Lakini pia nyanya ni chanzo cha kansa japo kwa asimilia ndogo sana, hasa nyanya ambayo haijapikwa.
Ndiyo mkuuUnamaanisha kachumbari?
wametudanganya nn?? mana ukiwa hujui kitu unaona sawa tuumods embu futa hii uzi hapa!ππ
Nyanya inapigwa sana dawa za sumu wakati wa kuzilima
Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
Ahsante mkuu.nyanya zile za kienyeji za enzi hizo sio za kisasa (GMO). Pemba zinapatikana sana zinaitwa tungule, mbegu za hizo nyanya zikidondoka tu kwenye ardhi na hali ya hewa ikawa nzuri huwa zinaota na kukua bila madawa makali ya kemikali
Kuelekea wapi??nimepita 2
Lima za kwako ambazo hautapiga sumu.Nyanya inapigwa sana dawa za sumu wakati wa kuzilima
Hatari sana mkuu.Kama mgonjwa hajaanza kuugua thats ok anaweza kutumia yaweza kusaidia kuzuia, lakini kama kansa ishaanza kukula aisee hakuna kirutubisho kitasaidia...bali ni matibabu tu.
unwanted multiple cells multiplication katika mwili ni kitu kibaya saana.