Shukrani sana mkuu. Hii naona ni yenyewe kabisa. Ntaifuatilia nione.Mkuu cheki na nyanya Nyota F1 au Milele F1 View attachment 1552230
Hii mbegu nzuri na inazaa mno shida haina shape anayoitaka huyu mtoa mada.Nunua mbegu inaitwa gama hutojuta
Hizi ndio Nyanya nilizozifahamu tangu ninakuwa, hizi mchongoko nadhani Wengine huziita Nyanya Mshumaa nimeziona kuanzia miaka ya mwishoni wa 90 au mwanzoni wa 2000 kama sikosei.Mkuu cheki na nyanya Nyota F1 au Milele F1 View attachment 1552230
Kwa hiyo mkuu. Hizi nyanya za milele na nyota hazichongoki na siyo ndogo sana?Hizi ndio Nyanya nilizozifahamu tangu ninakuwa, hizi mchongoko nadhani Wengine huziita Nyanya Mshumaa nimeziona kuanzia miaka ya mwishoni wa 90 au mwanzoni wa 2000 kama sikosei.
Mimi sio Mtaalamu Mkuu nilikuwa tu nazielezea hizo Nyanya za mviringo nilizozifahamu tangu zamani na ningetamani ziendelee kuwepo....maana sasa hivi hizi mchongoko ndio zimejaa sokoni.Kwahiyo mkuu. Hizi nyanya za milele na nyota hazichongoki na siyo ndogo sana?
Mimi binafsi nazilima hizo hazichongoki na zinakua kubwa mno wastani wa nyanya kubwa 90 zinajaza ndoo ya Lita 20 mfutoKwahiyo mkuu. Hizi nyanya za milele na nyota hazichongoki na siyo ndogo sana?
Sidhan kama Rio glande ni nyanya chotara. Sijaipanda lakin nimeiona kwa dogo mmoja aliinunua juzi. Nayo ina matunda ya kuchongoka.Vipi Rio glande,umeshawahi ijaribu???,Maana niliwahi kulima Wauzaji wa Sokoni waliipenda sana walikuwa wanavutiwa na rangi nyekundu iliyoiva
OK.Sidhan kama Rio glande ni nyanya chotara. Sijaipanda lakin nimeiona kwa dogo mmoja aliinunua juzi. Nayo ina matunda ya kuchongoka.