Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 1, 2014 #1 Vipimo Nyanya za mshumaa/chungu 20 kiasi Kitunguu 1 Nyanya/tungule 2 Mafuta ya zaytuni (olive oil) 3 vijiko vya supu Pilipili mbichi 1 Kitunguu saumu(thomu/galic) 3 chembe Chumvi kiasi Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Osha nyanya za mshumaa/chungu kisha zichemshe kidogo. Mwaga maji, menya maganda na ukatekate vipande vipande. Katakata kitunguu, nyanya vipande vidogovidogo (chopped) Saga au katakata pilipili mbichi na thomu. Weka mafuta katika sufuria, tia vitu vyote pamoja. Kaanga kwa muda huku unakoroga hadi iwive. Pakuwa katika chombo, nyunyizia mafuta ya zaytuni.
Vipimo Nyanya za mshumaa/chungu 20 kiasi Kitunguu 1 Nyanya/tungule 2 Mafuta ya zaytuni (olive oil) 3 vijiko vya supu Pilipili mbichi 1 Kitunguu saumu(thomu/galic) 3 chembe Chumvi kiasi Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Osha nyanya za mshumaa/chungu kisha zichemshe kidogo. Mwaga maji, menya maganda na ukatekate vipande vipande. Katakata kitunguu, nyanya vipande vidogovidogo (chopped) Saga au katakata pilipili mbichi na thomu. Weka mafuta katika sufuria, tia vitu vyote pamoja. Kaanga kwa muda huku unakoroga hadi iwive. Pakuwa katika chombo, nyunyizia mafuta ya zaytuni.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Aug 1, 2014 #2 Ok good stuff imekosekana bamia tu.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 1, 2014 #3 Mie napenda za nazi au katika soup ya samaki iwe na vegetables na hii naweka mwisho karibu ya kuepua inakua nzuriii
Mie napenda za nazi au katika soup ya samaki iwe na vegetables na hii naweka mwisho karibu ya kuepua inakua nzuriii
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,692 Aug 1, 2014 #4 mie napenda manake zinajenga heshima kwa afya ya ndoa lol!!