mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na chochote unacho chagua.
Baada ya hapo nilipita ghala moja la pembe za ndovu liko mali asili nako hakuna ulinzi wa vileee pana wanajeshi ambao unaweza watia mtonyo ukasepa na mzigo na pana CCTV Camera hazifanyi kazi kwa mda maana ziko na kutu kabisa.
My take, we need to be serious kama tunataka hii nchi ifike mahali hasa kwenye mifumo yetu ya kutoa haki.
Niwatakie siku njema ya upigaji, upigaji uendelee.