Nyaraka gani hutumika kuthibitisha Uraia wa Mtanzania?

Nyaraka gani hutumika kuthibitisha Uraia wa Mtanzania?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu wengi sana. Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?.

Je, cheti cha kuzaliwa ni nyaraka mmojawapo ya kuthibutisha urai wa Mtanzania?
 
Kuna vitu vingi sana cheti cha kuzaliwa kikiwemo, vyeti vya shule, kiapo toka mahakamani, barua ya mtendaji/mwenyekiti wa mtaa n.k
 
Usisahau na kadi ya clinic ya mama yako a,mbayo huonyesha zahanati ama hospitali uliyozaliwa.
 
Wakuu Najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu Wengi Sana, Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?. Je cheti Cha Kuzaliwa Ni Nyaraka mmojawapo ya Kuthibutisha Urai Wa Mtanzania.??
Kwa Mujibu wa CCM na Magufuli na Uhamiaji ya wakati ule Kadi ya CCM tu inatosha.
 
Usisahau na kadi ya clinic ya mama yako a,mbayo huonyesha zahanati ama hospitali uliyozaliwa.

Kwetu Zanzibar ukizaliwa tu unakuwa Mzanzibari kwanza kwani sheti uwe na ZAN ID kisha huko mbele ndio unakuwa Mtanzania bila ya kikwazo.
 
Wakuu najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu wengi sana. Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?.

Je, cheti cha kuzaliwa ni nyaraka mmojawapo ya kuthibutisha urai wa Mtanzania?
Hata uhamiaji wenyewe naamini hawatakupa majibu kwa sababu hawana jibu wala nyaraka ya namna hiyo.
 
Cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha uraia, kitambulisho cha NIDA, pasi ya kusafiria.
Hivyo vyote ulivyovitaja vinatolewa kwa lengo maalumu kama uthibitisho wa kuzaliwa na makazi, lakini hakuna nyaraka rasmi inayothibitisha uraia wa Mtanzania.
 
Kwetu Zanzibar ukizaliwa tu unakuwa Mzanzibari kwanza kwani sheti uwe na ZAN ID kisha huko mbele ndio unakuwa Mtanzania bila ya kikwazo.
Kuna tangazo la kuzaliwa na cheti cha kuzaliwa, ni vitu viwili tofauti.
 
Ataukiwa na NIDA bongoland haitoshi kuthibitisha ww ni raia wa Tz in simbachawene voice
 
wanaangalia wewe ni kizazi cha ngapi kikiwa tanzania hasa hasa kuanzia vizazi vinne na kuendelea. hakuna nyaraka za uthibitisho ndugu
 
passport ndio nyaraka wala sio cheti cha kuzaliwa kama cheti cha kuzaliwa lazima uwe na cha mzazi wako mmojawapo
 
Back
Top Bottom